Wednesday 17 July 2013

SINGLE COVER YA NYIMBO MPYA YA CHRIS BROWN ft NICKI MINAJ - ''LOVE MORE''

Hii ni cover ya nyimbo mpya ya chris brown aliyompa shavu nicki minaj inayoitwa ''LOVE MORE''.
Ijapokuwa bado chris brown anakabiriwa na mashtaka
ya kumpiga aliyekuwa girlfriend wake rihanna, Ila bado chris anaonekana kuendelea kufanya kazi zake kama alivyozipanga kutokujali kitakachotokea.