Friday, 26 July 2013

TIMBALAND AWAPONDA DRAKE NA CHRIS BROWN

Producer TIMBALAND amewaponda drake na chris brown kuwa yeye ndiye mwenye baraka za kufanya ngoma na
vocal za marehemu aaliyah alizorekodi kipindi cha uhai wake. Amesema kuwa, collabo kati ya drake & aaliyah haiwez ikafanya vizuri na pia collabo kati ya aaliyah  na chris brown pia haiwez kufanya vizuri kwa sababu TIMBALAND ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa kufanya nyimbo na marehemu aaliyah.
kwa taarifa zaidi tazama hiyo video hapo  chini.