Wednesday 7 August 2013

CHRIS BROWN ATANGAZA KUSTAAFU KUIMBA.

Msanii wa miondoko ya rnb Chris Brown, ametangaza kustaafu kufanya gemu ya muziki baada ya kuachia albamu yake iitwayo X.“Don’t worry mainstream
America. After this X album, it’ll probably be my last album,” Aliandika chris brown katika account yake ya twitter.
hapo chini ni maneno aliyoandika chris brown  katika account yake ya twitter juu ya swala lake la kuacha muziki.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...