Wednesday 7 August 2013

MTOTO WA USHER ANUSURIKA KIFO.

Mtoto wa RnB singer Usher Raymond ameponea chupuchupu baada ya kuokolewa baada ya kutaka kuazama kwenye swimming pool.
Msemaji mkuu wa Antlanta Police alisema mtoto wa Usher Raymond mwenye miaka mitano alianguka kwenye swimming pool siku ya juma tatu.
A housekeeper was unable to free the child and he was eventually pulled from the water by two audio-visual subcontractors working at the house.

Mtoto alikuwa anapumua vizuri wakati huduma ya kwanza ilipowasili. Sasa hivi mtoto wa Usher anaendelea vizuri huku akiwa anapata matibabu kwenye hospitali ya Antlanta.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...