Thursday, 1 August 2013

DOCTOR WA MICHAEL JACKSON ATAACHIWA HURU MAPEMA KABLA YA MUDA WAKE WA KUKAA JELA KUISHA.

Doctor (Conrad Murray)  wa aliyekuwa mfalme wa pop,''michael jackson'' anatarajiwa kuachiwa huru mapema kabla ya muda wake wa kutumikia adhabu ya
kifungo kuisha.
Doctor Conrad Murray  anatarajiwa kuachiwa mwaka huu october 28 kutokana na kuonesha ushirikiano kwa kukubali kuwa alimzidishia doze Mr. JACKSON.
Doctor huyo ''Conrad Murray '' alihukumiwa adhabu ya miaka minne  mwezi november 2011.