Mwanamuziki kutoka marekani "drake" ameachia album cover yake ambayo itakayokuwepo katika album yake
ya tatu iitwayo "Nothing Was the Same".
ya tatu iitwayo "Nothing Was the Same".
Picha hizo zinaonyesha jinsi rapper drake alivyokuwa mtoto mpaka sasa alivyo mtu mzima.
Cover hiyo imebuniwa na mbunifu Kadir Nelson ambaye pia alishawahi kubuni/kutengeneza album cover ya michael jackson.