Monday 5 August 2013

EMELI SANDÉ ATANGAZA RATIBA YA RATIBA YA SHOW ZAKE ZA KIMUZIKI NCHINI MAREKANI.

Mwanamuziki EMELI SANDE leo ameweka wazi ratiba yake ya show ambazo atazifanya nchini marekani mwaka huu mwezi OCTOBER. Mwanamuziki huyo
ambaye ametamba sana na nyimbo ya NEXT TO ME, ataanza kupiga show katika jiji la MIAMI. Hiyo hapo chini ndio ratiba yake nzima ya show zakeza mwezi october
Oct. 11 – Miami Beach, FL – Fillmore Miami Beach @ Jackie Gleason Theatre
Oct. 12 – Tampa, FL – The Ritz
Oct. 14 – Birmingham, AL – Iron City Birmingham
Oct. 15 – Memphis, TN – Minglewood Hall
Oct. 17 – Charlotte, NC – The Fillmore Charlotte
Oct. 18 – Raleigh, NC – Lincoln Theater
Oct. 19 – Baltimore, MD – Meyerhoff Symphony Hall
Oct. 21 – Columbus, OH – Newport Music Hall
Oct. 22 – Cincinnati, OH – Bogart’s
Oct. 23 – Nashville, TN – Ryman Auditorium
Oct. 25 – Indianapolis, IN – Egyptian Room – Old National Centre
Oct. 26 – Chicago, IL – Vic Theatre



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...