Tuesday 3 September 2013

DYNA NYANGE ALALAMIKA NA KUSEMA KUWA DIAMOND KAMPIGA CHANGA LA MACHO.


Kufuatia kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa amemshirikisha msanii huyo.
Bado ukweli haujafahamika kwani hata producer wa hiyo ngoma ya number one pamoja na diamond mwenyewe bado hawajazungumzia swala hilo...
TUSUBIRI  TUONE MBIVU NA MBICHI NI ZIPI..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...</