Wednesday 11 September 2013

FID Q ARUDISHA DARASA LA HIP HOP!


Farid Kubanda alias Fid Q aka Ngosha The Don, he’s a real Hip Hop super star hapa Bongo baada ya mangoma yake kibao ku-bang kwa hewa.
Fid Q decided kuanzisha darasa la Hip Hop kwa lengo la kuwapa skillz wasanii katika utungaji pamoja na kufokafoka.
Lakini wakati Kubanda akiwa kwenye mission yake mwenye nyumba aliamua kumpiga bonge la boot na kumwonyesha mlango wa kutokea fastafasta.
Baada ya yote hayo kutokea FID Q hakukata tamaa na sasa anarudisha rasmi darasa hilo la HIP HOP.
“Narudisha darasa langu la hip hop baada ya sehemu niliyokodi mwazo kuwa na magumashi ya kupandishiwa kodi na nikaona ni-stop ku-provide ma-skillz, but now nimepata place maeneo ya TMJ Mikocheni na pako very suitable kwa wanafunzi.” Ngosha ze swagger Don alisema , “Class itaanza soon na wanafunzi 35 wapo permanently so ninawakaribisha na wengine wote who likes Hip Hop”
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...