Monday, 16 September 2013

GUCCI MANE AKAMATWA NA POLISI KWA MARA NYINGINE KWA SABABU HII.


Rapper GUCCI MANE ambaye kwa hivi karibuni amekuwa na matukio mbalimbali yasiyo ya kawaida likiwemo na lile la ku-tweet kuwa-diss wasanii wenzake, amekamatwa na polisi kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi pamoja na silaha.
Ref (TMZ)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...