Tuesday 24 September 2013

Hawa ndio wasanii 10 wa HIP-HOP walioingiza kipato kikubwa zaidi duniani katika mwaka 2012/2013


Kutoka katika mtandao wa FORBES, hawa ndio wana hip-hop wanaoingiza kiasi kingi zaidi kuliko wengine katika mwaka 2012/2013

  1. P.diddy - $ 50 million
  2. Jay Z - $ 43 million
  3. Dr. Dre - $ 40 million
  4. Nicki Minaj - $ 29 million
  5. Birdman -$ 21 million
  6. Kanye West - $ 20 million
  7. Lil Wayne - $ 16 million
  8. Wiz Khalifa - $ 14 million
  9. Ludacris - $ 12 million
  10. Pitbull - $ 11 million 
Tazama video hapo chini kwa habari zaidi.