Hii ni kwa mara nyingine tena ambapo wanandoa hawa(Jay Z & Beyonce) wametajwa kuwa na ni couple inayoingiza mkwanja mwingi zaidi.
Katika gazeti la FORBES la nchini marekani limekaririwa kuwa Jay Z na Beyonce wameingiza kiasi cha $95 million kati ya mwezi june 2012 mpaka june 2013 huku wakifatiwa na Tom Brady/Gisele Bundchen walioingiza kiascha $80 million
waliofatia katika tano bora ni
3. Brad Pitt/Angelina Jolie ($50 million).
4. Ashton Kutcher & Mila Kunis ($35 million)
5. Kanye West & Kim Kardashian ($30 million)