Jose Chameleone ametangaza kutoa wimbo mpya ambao utakuwa ni wa kiinjili. Wimbo huo mpya umepewa jina la “TUBONGE” na utasikika siku za karibuni.
Kupitia ukurasa wake wa facebook Jose Chameleone alifunguka kwamba
Kupitia ukurasa wake wa facebook Jose Chameleone alifunguka kwamba
“am a self-made man, Who has earned every little thing as pay off for my hard work . As I walk out of studio this late a new song is done”. Coming soon! “TUBONGE”