Monday, 16 September 2013

JOHN LEGEND AFUNGA PINGU ZA MAISHA NA MODEL CHRISSY TEIGEN.


Hatimaye mwanamuziki wa miondoko ya rnb "JOHN LEGEND" amepiga hatua katika maisha yake kwa kuweza kufunga pingu za maisha na model  Chrissy Teigen. 
Harusi hiyo imefungwa nchini ITALY ambapo mastaa kama George Clooney na Madonna walikuwepo kushuhudia harusi hiyo.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...