Wednesday 11 September 2013

LIL WAYNE ATANGAZA KUSTAAFU KUIMBA !


Rapper LIL WAYNE ametangaza kuwa yuko tayari kustaafu kuimba muziki atakapokuwa amefikisha miaka 35, ambapo sababu kubwa aliyotoa ni aweze kupata muda mwingi wa ku-spend na watoto wake"
hapo chini ni video aliyokuwa akihojiwa juu ya yeye kustaafu muziki.
   
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...