Wednesday, 25 September 2013

Video ya "CHEZA BILA KUKUNJA GOTI" yafanikiwa kuonyeshwa na TV station kubwa duniani.


Video ya Bila Kukunja Goti, imefanikiwa kufikia kiwango  cha kuonyeshwa katika TV station za kimataifa za Burudani, Tv station zitakazoanza kuonyesha video hiyo  kali ya MwanaFA, AY wakishirikiana na Msanii kutoka Nigeria Jay Martins, ni TRACE, MTV Base, Channel O na Sound City …
Video hiyo itaanza kuonekana hivi karibuni Afrika Nzima na Dunia kiujumla.