Tuesday, 24 September 2013

Wasanii hawa ndio watakao-perform katika BET HIPHOP AWARDS - 2013.


Mpaka kufikia leo, wasanii ambao tayari wameandaliwa ku-perform katika BET HIPHOP AWARDS ni KENDRICK LAMAR, FRENCH MONTANA, 2CHAINZ,SCHOOLBOY Q & JAY ROCK.
BET HIP-HOP AWARDS itafanyika tar 15th OCTOBER ambapo show hiyo itakuwa hosted na SNOOP DOGG.
Kuona majina ya nominees bofya HAPA