Tuesday, 8 October 2013

B.O.B "Nitakuwa na album ambayo itakuwa ni album bora ya mwaka"

B.O.B anatarajia kuachia album yake mpya iitwayo "Underground Luxury"
inayotarajiwa kuachiwa rasmi mwezi December 2013.
B.O.B akihojiwa na MTV alifunguka "For me, it's great because I would have the best musical album out this year, like hands down," 
"That's no knock to anybody, any of the greats like Jay [Z] and Kanye [West] because I enjoyed their albums, but musically, what I put into this album is gonna be the best album this year."

Mwaka huu Jay Z  aliachia album yake Magna Carta...Holy Grail na Kanye West ali-release Yeezus.Wengine walioachia album mwaka huu ni,  Drake (Nothing Was The Same), Big Sean (Hall of Fame) na J. Cole (Born Sinner), .