Tuesday, 15 October 2013

Fid Q awaomba mashabiki wake jambo hili kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Baada ya kimya kirefu, Fid Q msanii wa Hip-Hop mwenye sifa ya kuandika
puch lines nyingi kwenye nyimbo zake, leo kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK amewaomba mashabiki wake wamchagulie siku atakayoitoa rasmi wimbo wake mpya .