Tuesday, 15 October 2013

Haya ndio maneno aliyoandika Mariah Carey juu ya Wimbo wake mpya.

Baada ya kupona jerehe lake la mkono alilolipata wakati aki-shoot video yake ya
beautiful aliyomhirikisha Miguel, Mariah Carey leo kupitia page yake ya FACEBOOK ameandika kuhusu ujio wa wimbo wake mpya utakaoitwa "The Art of Letting Go" ambao atauzindua rasmi siku ya tar 11November kupitia page yake ya Facebook.