Monday, 7 October 2013

Haya ndio maneno ya Loveness Love "DIVA" kuhusu utalii wa Tanzania.

Diva Loveness Love aitumia vizuri fursa ya kwenda Fiesta Moshi kwa kutembelea
sehemu ya kitalii mjini moshi inayojulikana kama  "KINUKAMORI WATER FALL"
Diva ameisifia Tanzania kuwa ina vivutio vingi vya utalii!
Tazama video hapo chini.