Friday, 11 October 2013

Hii ndio video mpya inayokuja kutoka kwa Lucci.

Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita toka producer wa audio wa studio ya Transformax, Luciano
Gadie Tsere maarufu kama Lucci aachie video ya duet yake na mrembo Jokate Mwegelo ‘Kaka/Dada’, producer huyo anategemea kuachia video mpya ya wimbo unaoitwa ‘SUMU’. Director Nisher ambaye jina lake linaendelea kukua kutokana na kazi anazoendelea kufanya ndiye aliyehusika kuandaa Video hiyo ya SUMU. Kama Flyer hiyo inavyoonyesha ngoma itadodonshwa tarehe 13 mwezi huu. Endelea kutembelea blog  hii ili kuicheki