Monday, 7 October 2013

Huyu ndiye Manager mpya wa Mwanamuziki Mariah Carey.

Mariah Carey na producer wake Jermaine Dupri wamefanya kazi kwa muda
mrefu sana na kupata mafanikio makubwa ikiwemo ni kushinda tunzo za grammy.
Sasa wawili hao wameendeleza ukaribu wao baada ya Jermaine Dupri ku-Sign kuwa manager mpya wa Msanii Mariah Carey kwa kusimamia kazi zote za muziki za msanii huyo.
Je ushirikiano huo utaleta mafanikio kwa Mariah Carey??