Saturday, 12 October 2013

Mariah Carey aandika barua kwa mafans wake.

Mariah Carey ambaye siku chache zilizopita alimtambulisha Jermaine Dupri
kama manager wake mpya wa kusimamia kazi zake za muziki, sasa leo amewaandikia barua mashabiki wake. 
soma hiyo barua hapo chini aliyoandika kupitia ukurasa wake wa FACEBOOK.