Monday, 14 October 2013

Mtazame Diamond Platnumz aki-perform Temptation LIVE katika Coke Studio.

Ni moja kati ya performance nzuri sana ambazo Diamond Platnumz ameweza kufanya kwa kipindi
hiki.

Akiwa coke studio anaonekana mtu wa kujiamini kupita kiasi sambamba na sauti nzuri inayorandana na mapigo ya ala za mziki zilizomzunguka. Lakini mbali na performance hiyo nzuri yenye kustahili kila sifa kwake, swali linabaki je! ni Temptation hii aliyokuwa anaizungumzia kama muvi yake with C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu au kuna nyingine?
For sure this is Diamond hakuna mwingine. Enjoy da’ video…!!