Thursday, 3 October 2013

new Joint_ Tanzaniano[daz baba,Ally mbongo,La rhumba] - "Mapema"(official music audio)

"TANZANIANO" Hili ni kundi la muziki wa kizazi kipya ambalo limeundwa na
members waliokuwa wakiunda kundi la Daz Nundaz ambao ni Daz baba na La Rhumba pamoja na mshikaji wao Ally Mbongo.
Sikiliza na pia unaweza ku-download nyimbo yao mpya inayoitwa "mapema"