Friday, 4 October 2013

Pancho Latino: "Watu watautambua muziki naotengeneza kuwa ni bora miaka ijayo"

Pancho latino amefunguka mengi kuhusiana na muziki anaotengeneza huku
akimsifia Hammy B kuwa ni producer pekee mwenye elimu ya juu ya muziki hapa nchini Tanzania.
Fahamu mengi zaidi aliyofunguka kwa kutazama video hapo chini ambayo ni interview ya Pancho Latino akihojiwa na Bongo5.