Saturday, 5 October 2013

Soma alichoandika Ice Prince kuhusu album yake mpya.

Kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, msanii kutoka Nigeria, Ice Prince
amefunguka kuhusiana na album yake mpya ambayo itakuwa ni album ya pili tangu aanze kufanya muziki.
Album hiyo inategemea kutoka mwezi huu ambayo imepewa jina la "FIRE OF ZAMANI.