Saturday, 12 October 2013

Tazama Performance aliyofanya John Legend katika Wendy Williams.

John Legend ambaye alifunga ndoa siku chache zilizopita, jana alialikwa katika
TV show ya Wendy Williams  ku-perform wimbo wake wa "All of Me" ambao kwa sasa unazidi kumuweka katika chat za juu.
John anategemea kuachia album yake mpya iitwayo "Love in the future" ifikapo tarehe 20 october.
Hii ndio show aliyofanya katika Wendy William