Tuesday 10 December 2013

Kendrick Lamar & Macklemore katika katika tuzo za grammy!

Kendrick Lamar na Macklemore/Lewis ni wasanii wapya ambao wameingia
katika categories ngumu na zenye upinzani mkubwa sana katika tuzo za grammy.
Wakali hao wanachuana katika kuwania tuzo za Albamu bora ya rap & best rap performance ambapo katika categories hizo wapo nguli wa muziki wa HipHop ambao ni Jay Z, Kanye West pamoja na YMCMB member Drake.
Wapo wanaohisi kuwa kendrick au macklemore/lewis wanaweza kuwapiga chini wakali Jay Z na Kanye West na wengine pia wanahisi kuwa hicho kitu hakitawezekana.
Tusubiri tuone nani ataibuka mbabe.
soma hapo chini categories zilivyopangwa kwa upande wa muziki wa HIP HOP!

Best Rap Album

Nothing Was The Same – Drake
Magna Carta…Holy Grail – Jay Z
Good Kid, M.A.A.D City – Kendrick Lamar
The Heist – Macklemore & Ryan Lewis
Yeezus – Kanye West

Best Rap Performance

Started From The Bottom – Drake
Berzerk – Eminem
Tom Ford – Jay Z
Swimming Pools (Drank) – Kendrick Lamar
Thrift Shop – Macklemore & Ryan Lewis Featuring Wanz


Best Rap/Song Collaboration

Power Trip – J. Cole Featuring Miquel
Part II (On The Run) – Jay Z Featuring BeyoncĂ©
Holy Grail – Jay Z Featuring Justin Timberlake
Now Or Never – Kendrick Lamar Featuring Mary J. Blige
Remember You- Wiz Khalifa Featuring The Weeknd


Best Rap Song

F***in’ Problems – ASAP Rocky Featuring Drake, 2 Chainz & Kendrick Lamar
Holy Grail -  Jay Z Featuring Justin Timberlake
New Slaves – Kanye West
Started From The Bottom -  Drake
Thrift Shop – Macklemore & Ryan Lewis Featuring Wanz

" data-num-posts="10" data-width="660">