Friday, 28 February 2014

Hatimaye Ostaz Juma aomba msamaha kwa Watanzania.

OSTAZ JUMA "NDUGU KWANZA KABISA NAOMBA NIWAOMBE RADHI KWA YOYE
YALIYOTOKEA NA KUBWA ZAIDI NI JUU YA POSTI AMBAYO ILIKUWEPO HAPA KWENYE ACCOUNTI YANGU, UKWELI NI KWAMBA HAIKUWA POSTI AMBAYO MIMI BINAFSI NILIIANDIKA, KUNA WATU WENYE NIA MBAYA NA MIMI WALI-HIKE AKAUNTI YANGU NA KUPOSTI HICHO WALICHOANDIKA.. NAWAOMBA MNISAMEHE WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE WATAKUWA WAMEKWAZIKA NA POSTI HIYO, NASISITIZA KWAMBA HAIKUWA POSTI YANGU NA NDIO MAANA NILIPOFANIKIWA KUIPATA TENA AKAUNTI YANGU NIMEIFUTA NA KUANDIKA UJUMBE HUU.... SISI NI WATANZANIA NA NCHI YETU NI YA AMANI NAMI PIA NI MPENDA AMANI, TUDUMISHE AMANI YETU."
Kwa habari zaidi bofya HAPA