Baada ya kuenea kwa picha za kimitego mtandaoni na tetesi za kuwa kwenye 
mahusiano ya kimapenzi  kati ya msanii wa muziki nchini Kenya,  Colonel Moustapha na Huddah Monroe, hatimaye wawili hao wameweza kufunguka bila ya kumung’unya  katika mahojiano na kituo cha  KTN.. 


