Tuesday, 25 February 2014

Ray C aanzisha Foundation kwa ajili ya kuwasaidia watu walioathirika kwa madawa ya kulevya.

Msanii mkongwe wa Bongo Flava "Ray C" a.k.a Kiuno bila mfupa, ameanzisha foundation(asasi) kwa ajili
ya kuwasaidia watu walioathirika na madawa ya kulevya.
Ray C ni miongoni mwa watanzania wachache waliochukua uamuzi wa kuacha kutumia madawa ya kulevya baada ya kuona hasara kubwa anayoipata kiafya, kijamii na hata kiuchumi pia.
Kwa maelezo zaidi juu ya asasi hiyo soma hapo chini...