Friday, 28 February 2014

Kwa wale fans wa Mwasiti, basi haya ndio mashairi ya wimbo wake mpya wa "Serebuka"

Serebuka by mwasiti


(Verse1)

Wengine wanalia sababu ya kupenda
Lakini wameachwa (wameachwa)
Wengine wanapigwa bado wang'ang'ana
sababu ya mapeenziii
Wengine wafumania lakini waendelea
Sababu ya kupeendaaa
Wengine wajiua wao walipendwa 
lakini wameachwa leo


(Chorus)

Labda tunapenda tusipopendekaa
Tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapendaa 
Tusipopataka tunasubiria yeah yeah
Serebuka serebuka 
unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena
Serebuka serebuka 
unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena


(Verse2)

Wengine wao waua hili wapendwe maishani
Mwishowe wateseka (watesekaa)
Wengine walishahapa hawatawapenda milele
Wakarudia yale yaleee
Wapo walioroga kushinda kwa waganga
Kupigania penzi lao lao ooh
Wengine zao kuhonga
Wao walipendwa pesa zao zikaisha wewe


(Chorus)

Labda tunapenda tusipopendekaa
Tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapendaa 
Tusipopataka tunasubiria yeah yeah
Serebuka serebuka unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena
Serebuka serebuka 
unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena


(Bridge)

Maisha ndivyo yalivyo
Kupata na kukosa
Maisha ndivyo yalivyo
Kutenda na kutendwa uuh
Lakini yote mipango ya mola
Alichopanga
La!la!la!la eeh


(Chorus)

Labda tunapenda tusipopendekaa
Tusipotakiwa tunavumilia
Labda tunapendwa tusipopapendaa 
Tusipopataka tunasubiria yeah yeah
Serebuka serebuka 
unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena
Serebuka serebuka 
unaweza pendwa tena
Serebuka serebuka 
unaweza penda tena


Weka chini shida zako wewe

Weka chini shida zako wewe
Weka chiini

........Drums plays till fade