Sunday, 9 February 2014

new Joint_ Country Boy f/ Young Killer & Young D - "Akili za usiku"(official music audio)

Msanii mwenye mitindo mbalimbali ya ku-rap, Country Boy ameachia rasmi ngoma yake iitwayo Akili za Usiku.
Katika ngoma hiyo ametoa shavu kwa mwakundi mwenzake wa
mtu che "Young d" pamoja na young killer msodoki.
Ngoma imefanywa katika studio za Kill Record.
Sikiliza na pia unaweza ku-download hapo chini.