Saturday, 18 January 2014

Listen|Download--> Grace Matata - "Uwe Wangu"(official music audio)

Huu ni wimbo mpya wa grace matata ambao ameuachia tar 17 January 2014. Wimbo huu unaitwa uwe wangu ambapo producer Bunduki a.k.a 47 amehusika na utengenezwaji wa joint hiyo.

Sikiliza na pia unaweza ku-download hapo chini.