Thursday, 6 March 2014

Baada ya kufungiwa, hatimaye "UZURI WAKO" yaanza kuchezwa "CHANNEL O"

Baada ya TCRA kuifungia video ya uzuri wako kutoka kwa jux, sasa neema imeanza kuja kwan hivi sasa
music video hiyo imeanza kuchezwa katika kituo cha CHANNEL O.
JUX "Uzuri Wako video is now played on CHANNEL O thanx God we winning...Baada ya UZURI WAKO kuwa inachezwa katika then "Nitasubiri" ndo inafuata! We so international!"