Friday, 7 March 2014

Hii ndio tarehe rasmi ya ndoa kati ya Kim Kardashian na Kanye West

Ndoa inayotabiriwa kuwa ni ndoa ya mwaka, kati ya Kim Kardashian na Kanye West, imekaribia.
Kim Kardashian na Kanye West wameripotiwa kuwa wemepanga kufunga ndoa MAY 24 mwaka huu 2014 katika jiji la Paris Ufaransa.
Kim na Kanye walikuwa wachumba rasmi mwaka jana 2013 mwezi OCTOBER.