Tuesday, 4 March 2014

Ray C afunguka kuhusu Matatizo yaliyomkuta Lord Eyez.

Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Lord Eyez , "Ray C" amefunguka kupitia account yake ya instagram kwa
maneno ambayo yakimsii Lord Eyez abadilishe mwenendo wake wa maisha kiujumla pamoja na matumizi ya dawa za kulevya.