Tuesday, 4 March 2014

Joh Makini kutoka Weusi naye afunguka kuhusu Lord Eyez.

Joh Makini"Lordize hajafukuzwa wala kutengwa kama baadhi ya watu wanavyoitafsiri bali
tumempa muda huku tukishirikiana nae kumaliza matatizo yake atakapo kaa sawa atarudi kazini kama kawaida...."