Monday, 7 July 2014

Joh Makini na Vanessa Mdee wapata shavu la Coke Studio

Baada ya mwaka jana ambapo Lady Jay Dee na Diamond Platnumz walipoiwakilisha Tanzania katika Coke studio, sasa ni zamu ya Joh Makini pamoja na Vanessa Mdee.

Hii ni season ya pili ya Coke studio amayo huwa inafanyika Kenya ikiwakusanya wasanii mbalimbali wa bara la Afrika.
Watu Smart Ent inawatakia mafanikio mema Joh Makini pamoja na Vanessa Mdee.