Wednesday, 3 July 2013

JAY Z AONYESHA KAVA YA ALBAMU YAKE MPYA ''MAGNA CARTA HOLY GRAIL''




Jay Z leo amezindua rasmi cover ya albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la MAGNA CARTA HOLY GRAIL,

Hii ni hatua yake
katika kuhakikisha kwamba albamu hii iwe bora na iwe na mauzo mengi katika historia. 
Hivi karibuni rafiki yake Wanaounda kundi la THE THRONE 'kanye west' amefanya vizuri katika mauzo ya albamu yake ya yeezus.