Thursday, 4 July 2013

TAZAMA MOVIE TRAILER_ ''WADJDA'' ILIYOTENGENEZWA SAUDI ARABIA NA DIRECTOR MWANAMKE

Hii ni filamu mpya na inayotegemewa kuwa bora iliyoongozwa na director mwanamke aitwaye Haiffa al Mansour huko
SAUDI ARABIA. Filamu hii inazungumzia manyanyaso wanayoyapata wanawake wa nchini saudi arabia ambapo mtoto WADJDA amebeba uhusika wa manyanyaso hayo. Manyanyaso hayo yanatokana na kutokuwepo kwa HAKI za MWANAMKE nchini humo.
Filamu hii inatarajiwa kutoka rasmi 19th JULY 2013 
TAZAMA TRAILER HAPO CHINI