Msanii mkali wa Hip Hop Bongo, Rapper Chidi Benz Atapiga show katika Club Ya
Billcanas, siku ya Jumapili ya Tarehe 06/10/2013 kwa kiingilio cha Shilingi 8000, Pia Rapper huyo atasindikizwa na wakali wengine wakiwemo, TID, Wakazi, Bob Jr Na Linex… Usikose siku hio …