Tuesday, 25 February 2014

HUDDAH MONROE NA COLONEL MOUSTAPHA WAONGELEA KUHUSU UHUSIANO WAO.

 Baada ya kuenea kwa picha za kimitego mtandaoni na tetesi za kuwa kwenye
mahusiano ya kimapenzi  kati ya msanii wa muziki nchini Kenya,  Colonel Moustapha na Huddah Monroe, hatimaye wawili hao wameweza kufunguka bila ya kumung’unya  katika mahojiano na kituo cha  KTN..