Monday, 28 January 2013

ELIZABETH MICHAEL ''lulu'' APEWA DHAMANA

Hatimaye msanii wa bongo movie ELIZABETH MICHAEL''lulu'' leo amefanikiwa kupata dhamana ambayo inaitajika  kuwa wanafanya kazi serikalini pamoja na passport ya kusafiria ya msanii huyo..