Friday, 4 January 2013

HAYA NDIYO YALIYOJILI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU SAJUKI.

wakati mwili wa marehemu ukiwasili .


Dua ya mwisho kwa marehemu Sajuki

Rais Kikwete akizungumza na baba  mzaz wa Sajuki

Waombolezaji wakiwa katika nyuso zenye huzuni

Rais Kikwete akiongoza mazishi ya muigizaji sajuki