Msanii wa kundi la THT Barnabas Elias maarufu Barnaba amefiwa na ma
Mama mzazi wa msanii huyo alifaliki kutokana na Presha.
Tunawapa pole Ndugu na Jamaa
wa karibu wa familia ya Barnaba katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mpendwa wao
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMENI