Tuesday, 25 June 2013

OMMY DIMPOZ AFUNGUKA JUU YA YEYE KUPIGWA MAKOPO JUKWAANI

Baada ya kutoa kauli ya dharau kwa Marehemu Albert Mangwea,
msanii Ommy Dimpoz amejikuta akirushiwa makopo akiwa akitumbuiza katika tamasha la KILI MUSIC AWARDS TOUR. Angalia video
hapo chini inayoonyesha jinsi ilivyokuwa.
Kupitia interview aliyofanya na CLOUDS fm. Ommy dimpoz amefunguka juu ya hili sakata. Sikiliza hapo chini alichokizungumza Ommy dimpoz.