albamu yake mpya iitwayo Nothing Was The Same on September 17th. Katika harakati za kuipa promo albamu hiyo,
kaamua kusambaza video inayomwonyesha akisherehekea kupata tunzo ya albamu bora ya mwaka ya rap katika tunzo za GRAMMY.Albamu hiyo inaitwa TAKE CARE.
Angalia video kuona jinsi ilivyokuwa!